Jumapili, 3 Aprili 2016



TIMU ya Barcelona imeshindwa kutamba nyumbani kwake baada ya kuchapwa kwa mabao 2-1 na wapinzani wake wakubwa Real Madrid katika mechi ya La Liga iliyopigwa kwenye Uwanja wa Cam Nou mjini Barcelona.











Hakuna maoni:

Chapisha Maoni