OLE SENDEKA ANOGESHA SHEREHE ZA DIWANI WA KATA YA ENGARENAIBOR LONGIDO MKOANI ARUSHA
Msemaji
wa CCM na Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka akisaini kitabu cha
Wageni alipopita Ofisi ya CCM mkoa wa Arusha akiwanjiani kwnda wilayani
Longido akiwa katika ziara ya kikazi mkoani humo jana. Wapili kushoto ni
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha Lekule Laiza na kulia ni Katibu
Mwenezi wa mkoa huo, Shabani Mdoe
Katibu
Mwenezi wa mkoa wa Arusha Shabani Mdoe akitambulisha wageni, Msemaji wa
CCM na Mjumbe wa NEC, Ole Sendeka alipofika Ofisi ya CCm mkoa wa Arusha
akiwa njiani kwenda wilayani Longido mkoani humo jana akiwa katika
ziara ya kikazi
Msemaji
wa CCM Ole Sendeka akizungumza na viongozi wa CCM mkoa wa Arusha
alipofika Ofisi ya CCM mkoani huni humo akiwa njiani kwenda wilayani
Longido akiwa katika ziara ya kikazi
Vijana
wa bodaboda wakimsalimia Msemaji wa CCM, Ole Sendeka wakati wa mapokezi
akiwa njiani kwenda wilayani Longido mkoani Arusha kikazi. Kushoto ni
wenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha Lekule Laiza
Msafara wa Msemaji wa CCM Ole Sendeka ukienda wilayani Longido mkoani Arusha
Hiyo Ndiyo Longido
Vijana
wa Bodaboda wakiongoza msafara wa Msemaji wa CCM, Ole Sendeka ulipokuwa
njiani kwenda Kata ya Engarenaibor wilayani Longido mkoani Arusha
Msemaji
wa CCM Ole Sendeka akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Longido Ernest
Kahindi, alipofika Ofisi ya CCm ya wilaya hiyo akiwa njiani kwenda Kata
ya Engarenaibor akiwa katika ziara ya kikazi
Mwanannchi wa Longido
Msemaji wa CCM Ole Sendeka akienda katika Ofisi ya CCM wilaya ya Longido mkoani Arusha
Msemaji wa CCM, Ole sendeka akisaini kitabu cha wageni alipowasili Ofisi ya CCM wilaya ya Longido mkoani Arusha jana










Hakuna maoni:
Chapisha Maoni