KWA MAZOEZI HAYA, KAZI IPO KESHO EL CLASICO
Winga
wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo (kushoto chini) akiwa mazoezini na
nyota mwenzake wa timu hiyo, James Rodriguez kujiandaa na mchezo wa El
Clasico wa La Liga dhidi ya mahasimu Barcelona kesho usiku Uwanja Camp Nou.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni