RASHFOD AITEREMSHA DARAJA ASTON VILLA AKITUPIA BAO PEKEE KATIKA USHINDI WA BAO 1-0 WA MAN UNITED
By Newsroom on April 17,2016
Bao
pekee la Manchester United lililofungwa na Marcus Rashford dhidi ya
Aston Villa, pamoja na kuipa timu hiyo ushindi wa 1-0, lakini rasmi
limeitupa daraja la kwanza Aston Villa.
Rashford
mwanafunzi wa sekondari alifunga bao hilo katika dakika ya 32
akiunganisha krosi ya chinichini kutoka pembeni mwa uwanja.
Man
United imefunga Aston Villa kwa bao 1-0 na kuendelea kujiweka kwenye
matumaini ya kuwania nafasi nne za juu katika Ligi Kuu England.
Lakini
majonzi yanabaki kwa Villa iliyobaki na pointi 16 tu na mashabiki wake
ambao msimu ujao, wanaanza kupambana wakiwa daraja la kwanza kuwania
kurejea Ligi Kuu England.
MANCHESTER UNITED (4-2-3-1): De
Gea 6; Valencia 7.5, Smalling 6.5, Blind 6, Rojo 6; Schneiderlin 6,
Fellaini 6.5; Mata 6 (Fosu-Mensah 89), Rooney 6.5 (Lingard 67 6), Depay
7; Rashford 7 (Martial 76 6)
Subs not used: Young, Romero, McNair, Darmian
Scorer: Rashford 32
ASTON VILLA (4-4-1-1): Guzan 6;
Hutton 5.5, Clark 6, Lescott 5.5, Cissokho 5.5; Sinclair 5.5, Bacuna 6,
Westwood 6, Richardson 6 (Gestede 82 6.5); Gueye 6; Ayew 6.5
Subs not used: Richards, Sanchez, Gil, Bunn, Lyden, Grealish
Booked: Richardson
Referee: Kevin Friend 6.5
Attendance: 75,411













Hakuna maoni:
Chapisha Maoni