Jumanne, 12 Aprili 2016

RAIS. DKT. MAGUFULI AWAONGOZA VIONGOZI NA WAOMBOLEZAJI KATIKA KUAGA, MWILI WA ALIYE KUWA MBUNGE WA VITI MAALUMU WA CHADEMA CHRISTINA LISSU MUGHWAI, LEO.

BAADHI YA PICHA ZIKIONESHA VIONGOZI WAKISAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO CHA MSIBA HUO.

Na Raymond Urio, Dar

Mmbunge wa Jimbo la Mbozi kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Pascal Haonga, akisaini kitabu cha maombolezo ya Msiba wa aliekuwa Mmbunge wa Viti Maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Christina Lissu Mughwai,.



Rais Dkt. John Pombe Magufuli,akisaini kitabu cha Maombolezo ya Marehemu Christina Lissu Mughwai, aliekuwa Mmbunge wa Viti Maalumu kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), leo katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam.


    Mtoto wa Marehemu Christina Lissu Mughwai,  akitoa taarifa fupi juu ya mama yake.


Rais Dkt. Pombe Magufuli, akitoa heshima zake za mwisho kwa alie kuwa Mbunge wa Viti Maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Marehemu Christina Lissu Mughwai, katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo. Marehemu Christina Lissu Mughwai alifikwa na umauti mwisho wa mwezi huu, kutokana na Maradhi ya Kansa yaliyokuwa yakimsumbua

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni