Jumanne, 5 Aprili 2016



PIKIPIKI ZA WIZI 519 ZAKAMATWA KWA MAKOSA MBALIMBALI.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, kamishina Simon Sirro, akionesha waandishi wa habari baadhi ya Pikipiki zilizo kamatwa kwa makosa mbalimbali, jijini, Dar es Salaam jana. Jumla ya Pikipiki zilizo kamatwa ni 519. Picha na Raymond Urio.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni