PACQUIAO BADO MOTO MKALI , AMDONDOSHA BRADLEY MARA MBILI NA KUMSHINDA KWA POINTI
Katika
pambano hilo lililofanyika kwenye Ukumbi maarufu wa MGM Grand jijini
Las Vegas, Marekani, Pac alimwangusha Bradley mara mbili katika raundi
ya saba na tisa na mwisho majaji wote watatu wakampa ushindi wa pointi.
Pacquiao
ndiye alitawala zaidi akifikisha makonde 122 kwenye mwili wa mpinzani
wake katika 439 wakati Bradley alifikisha ngumi 99 kati ya 302
alizorusha.
Wakati wanakutana, kabla ya kupanda ulingoni rekodi zao zilikuwa zinaonyesha Pacquiao (58-6-2) na Bradley (33-2-1).











Hakuna maoni:
Chapisha Maoni