MAJALIWA AWASILI DODOMA
By Newsroom on April 18, 2016
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Jordan Rugimbana (kulia) ,
Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega (Wapili kushoto) na Mbunge wa
Nachingwea, Hassan Masala baada ya kuwasili kwenye uwanja w ndege wa
Dodoma kuhudhuria kikao cha Bunge kinachotarajiw kuanza Arili 19, 2016..
Watatu kulia Mbunge wa Bunge la Afrika ya Mashariki Adam Kimbisa.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Jordan Rugimbana (kulia) ,
Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega (Wapili kushoto) na Mbunge wa
Nachingwea, Hassan Masala baada ya kuwasili kwenye uwanja w ndege wa
Dodoma kuhudhuria kikao cha Bunge kinachotarajiw kuanza Aprili 19,
2016.. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni