MAJALIWA ASHIRIKI MAZISHI YA KAKA YAKE
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka udongo kwenye kaburi la kaka yake,
Selemani Selemani katika mazishi yaliyofanyika kwenye kijiji cha
Narungombe wilayani Ruanhwa Aprili 9, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni