Jumanne, 12 Aprili 2016

MWALI WA KOMBE LA SHIRIKISHO (FA) ATOKEZWA HADHARANI.

Na Raymond Urio


Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Mwesigwa Selestine akiwa ameliinua Kombe atakalopewa bingwa wa Kombe la Shirikisho.

Michuano hiyo inadhaminiwa na Azam Sports HD na baadhi ya timu nne zilizoingia nusu fainali ni Yanga, Azam FC, Coastal Union na Mwadui FC.


RATIBA
Aprili 24:
Mwadui Vs Azam FC


Coastal Vs Yanga
Picha kwa msaada wa Saleh Jembe


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni