Balozi wa Ireland nchini Tanzania Mhe. Fionnuala Gilsenan amtembelea Waziri Mh. Angellah Kairuki
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mh. Angellah Kairuki
(Mb) (kulia) akizungumza na Balozi wa Ireland nchini Tanzania Mhe.
Fionnuala Gilsenan alipotembelea ofisini kwake mapema jana
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni