Alhamisi, 7 Aprili 2016

 


Kikosi cha timu ya Esperance de Tunis ya Tunisia, inatarajia kuwasili nchini leo Ijumaa kwa ndege binafsi ya kukodi kwa ajili ya mechi dhidi ya Azam FC.
Azam inatarajia kuvaana na Esperance katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika, mechi ambayo itachezwa kwenye Uwanja wa Chamazi, keshokutwa Jumapili.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni