Ijumaa, 2 Septemba 2016

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA KATIKA SALA YA IJUMAA MKITI WA ANWAR- MSASANI


J1
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waislamu baada ya kushiriki katika Sala ya Ijumaa kwenye Msikiti wa Anwar, Msasani jijini Dar es salaam Agosti 2, 2016.
J2
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kushiki sala ya Ijumaa kwenye Msikitiwa Anwar, Msasani jijini Dar es salaam Agosti 2, 2016.
J3
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Bilal wakishiriki katika sala ya Ijumaa kwenye Msikiti wa Anwar, Msasani jijini Dar es salaam Agosti 2, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni