NG,OMBE WA MFUGAJI WAKAMATWA
Ng’ombe wa mfugaji Dotto Mabula ,wa kijiji cha Madege kata ya Dutumi wilayani ,Kibaha mkoani Pwani wakiingizwa katika zizi la ofisi ya serikali ya kijiji cha Dutumi baada ya kukamatwa wakila mazao kwenye moja ya shamba kijijini hapo,Hiyo ni moja ya mkakati wa kata ya Dutumi ambapo kila serikali ya kijiji imejenga zizi la kusweka ndani mifugo kabla ya mfugaji kulipia faini.(Picha na Mwamvua Mwinyi)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni