AFRICAN LYON V MBAO FC
African Lyon ya Dar es Salaam
kesho Septemba 12, 2016 itaikaribisha Mbao FC kwenye mchezo Mchezo huo
Na. 28 wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara utakaofanyika Uwanja wa
Uhuru jijini. Mara baada ya mechi hiyo, raundi ya tano itafanyika
mwishoni mwa wiki ijayo kadiri ya ratiba.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni