Rais Dk.Shein akutana na Viongozi wa Wizara mbali mbali
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kuhusu Programu ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo (wa pili kulia) Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mzee ,[Picha na Ikulu.] 06/09/2016.
Baadhi ya wakurugenzi wa Idara mbali mbali za Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali wakiwa katika mkutano wa siku moja wa Wizara hiyo kuhusu Programu ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020 chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,Picha na Ikulu.] 06/09/2016.
Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mzee akifafanua jambo wakati wa mkutano wa siku moja wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kuhusu Programu ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020 chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja (kushoto) Wizara wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma,[Picha na Ikulu.] 06/09/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kuhusu Programu ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo (wa pili kulia) Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mzee ,[Picha na Ikulu.] 06/09/2016.
Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango wakiwa katika mkutano wa siku moja wa Wizara hiyo kuhusu Programu ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020 chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,Picha na Ikulu.] 06/09/2016.
Baadhi ya Wakurugenzi wa Idara zilizo chini ya Wizara ya Fedha na Mipango wakiwa katika mkutano wa siku moja wa Wizara hiyo kuhusu Programu ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020 chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,Picha na Ikulu.] 06/09/2016.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni