MKURUGENZI MKUU WA TAKUKURU APOKEA BANGO LA KUPAMBANA NA RUSHWA
Mkurugenzi
Mkuu wa Ofisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa, nchini, Bw. Valentino
Mlowola (TAKUKURU) (kulia) akizungumza jambo na Mkurugenzi Msaidizi
wa Utawala, (kushoto) Bi .Wanyenda Kutta Mahakama ya Tanzania, kabla ya
Makabidhiano hayo yalifanyika leo kwenye ofisi za Makao Makuu ya
TAKUKURU.
Mkurugenzi
Mkuu wa Ofisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa, nchini , Bw.Valentino
Mlowola (TAKUKURU) ( kulia) akipokea Bango la Mahakama ya Tanzania
kutoka kwa Mkurugenzi Msaidizi Utawala(katikati) , Mahakama ya
Tanzania, Wanyenda Kutta. Kushoto ni Afisa Utumishi, Mahakama ya
Tanzania,Bi. Mwajuma Suru.Makabidhiano hayo yalifanyika leo kwenye ofisi za Makao Makuu ya TAKUKURU.
PICHA NA MAHAKAMA YA TANZANIA
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni