OSHA WAADHIMISHA MIAKA 15 KWA KUFANYA USAFI NA KUTOA MISAADA MWANANYAMALA HOSPITALI
Katibu
Tawala wa Wilaya ya Kinondoni, Bi. Gify Msuya (mwenye gauni la bluu) na
mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 15 ya Wakala wa Usalama na Afya
Mahali pa Kazi (OSHA) akikabidhi baadhi ya misaada iliyotolewa na OSHA
kwa Hospitali ya Rufaa Mwananyamala kama msaada kuisaidia hospitali
hiyo. Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi leo imeadhimisha miaka 15
tangu kuanzishwa kwa kujitolea kufanya usafi na kutoa misaada anuai
katika Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam. Wa
kwanza kushoto ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa
Kazi (OSHA), Dk. Akwilina Kayumba akimsaidia zoezi hilo.Katibu
Tawala wa Wilaya ya Kinondoni, Bi. Gify Msuya (mwenye gauni la bluu) na
mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 15 ya Wakala wa Usalama na Afya
Mahali pa Kazi (OSHA) akimkabidhi mmoja wa madaktari wa Hospitali ya
Rufaa ya Mwananyamala viatu maalumu vya chumba cha upasuaji kama msaada
kuisaidia hospitali hiyo. Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi leo
imeadhimisha miaka 15 tangu kuanzishwa kwa kujitolea kufanya usafi na
kutoa misaada anuai katika Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala jijini Dar
es Salaam.Mtendaji
Mkuu wa Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA), Dk. Akwilina
Kayumba (kushoto) akisaidiana na Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa
Mwananyamala, Dk. Daniel Nkungu (kulia) kutandika moja ya mashuka
yaliyotolewa na OSHA kama msaada kuisaidia hospitali hiyo. Wakala wa
Usalama na Afya Mahali pa Kazi leo imeadhimisha miaka 15 tangu
kuanzishwa hivyo kujitolea kufanya usafi katika Hospitali ya Rufaa ya
Mwananyamala jijini Dar es Salaam.Baadhi
ya wafanyakazi wa OSHA na Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala
wakishiriki kufanya usafi kwenye hospitali hiyo. Wakala wa Usalama na
Afya Mahali pa Kazi leo imeadhimisha miaka 15 tangu kuanzishwa kwa
kujitolea kufanya usafi na kutoa misaada anuai katika Hospitali ya Rufaa
ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam.Baadhi

ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam.Mtendaji
Mkuu wa Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA), Dk. Akwilina
Kayumba akifanya usafi na wafanyakazi wa OSHA na Hospitali ya Rufaa ya
Mwananyamala.
Mtendaji
Mkuu wa Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA), Dk. Akwilina
Kayumba (katikati) akizungumza na wafanyakazi wa OSHA na Hospitali ya
Rufaa ya Mwananyamala kwenye hafla hiyo. Wakala wa Usalama na Afya
Mahali pa Kazi leo imeadhimisha miaka 15 tangu kuanzishwa kwa kujitolea
kufanya usafi na kutoa misaada anuai katika Hospitali ya Rufaa ya
Mwananyamala jijini Dar es Salaam.Katibu
Tawala wa Wilaya ya Kinondoni, Bi. Gify Msuya (kushoto) na mgeni rasmi
katika maadhimisho ya miaka 15 ya Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa
Kazi (OSHA) akizungumza na wafanyakazi wa OSHA na Hospitali ya Rufaa ya
Mwananyamala kwenye hafla hiyo. Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi
leo imeadhimisha miaka 15 tangu kuanzishwa kwa kujitolea kufanya usafi
na kutoa misaada anuai katika Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala jijini
Dar es Salaam.
Katibu Tawala wa Wilaya ya Kinondoni, Bi. Gify Msuya (kulia) na mgeni
rasmi katika maadhimisho ya miaka 15 ya Wakala wa Usalama na Afya Mahali
pa Kazi (OSHA) akisaidiana na muuguzi wa zamu Hospitali ya Rufaa
Mwananyamala kutandika moja ya mashuka yaliyotolewa na OSHA kama msaada
kuisaidia hospitali hiyo. Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi leo
imeadhimisha miaka 15 tangu kuanzishwa hivyo kujitolea kufanya usafi na
kutoa misaada anuai katika Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala jijini Dar
es Salaam.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni