Ligi
Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea wikiendi hii ambapo kutakuwa na
mechi kadhaa Jumamosi na Jumapili, Simba bado ipo kileleni katika
msimamo wa ligi hiyo ikiwa pointi sawa na Azam FC, jambo zuri ni kuwa
timu hizo zitakutana kesho, hivyo yeyote atakayeshinda atashika usukani.
Msimamo wa ligi hiyo na mechi za wikiendi hii unasomeka hivi:
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni