WAKUU WA MIKOA YA MBEYA NA SONGWE WAONGOZA WANANCHI KUSHUHUDIA TUKIO LA KUPATWA KWA JUA RUJEWA
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Amos 
Makala na Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mh. Chiku Galawa wakiangalia kupatwa 
kwa jua kwa miwani maalum katika eneo la Tazara Relini Rujewa Wilaya ya 
Mbarali mkoani Mbeya ambapo wageni na wananchi kutoka maeneo mbalimbali 
na mikoa ya jirani wakiwemo waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali
 vya habari kutoka ulaya wamekuja kushuhudia tukio hilo linalotokea kwa 
nadra. (PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-RUJEWA-MBEYA)
Meneja wa Masoko wa Bodi ya Utalii
 TTB Bw. Geofrey Meena akiangalia tukio la kupatwa kwa jua kwa miwani 
maalum wakati wa kushuhudia tukio hilo katika eneo la Taraza Relini 
Rujewa wilayani Mbarali.
Meneja Masoko wa TTB Bw. Geofrey 
Meena kulia pamoja na pamoja na wafanyakazi wenzake wa TTB kutoka kulia 
Gladstone MlayMkuu wa Utalii Kanda ya Ziwa , Irene MvileAfisa Utalii 
Habari na ErnestMususa Mhasibu wakishuhudia tukio hilo kwa pamoja.
Mkurugenzi wa Fullshangwe Bw. John Bukuku hakuwa nyuma ili kushuhudia tukio hilo pia
Mkuu wa Mawasiliano TTB eofrey 
Tengeneza akizungumza na wananchi mbalimbali waliohudhuria katika eneo 
hilo ili kushuhudia tukio hilo.
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mh. Amos Makala  akiwa pamoja na viongozi wa mkoa huo Katikati Mkuu wa wilaya ya Mbeya Bw William Ntinika na Mbunge wa jimbo la Mbarali.
Mkuu wa mkoa wa Songwe Mh. Chiku Galawa akizungumza jambo na Mkuu wa mkoa Mstaafu Bw.Eraston Mbwilo.
Baadhi ya wanafunzi wakishuhudia tukio hilo.
Mwananchi wa Rujewa Kennedy Lutambi akishuhudia tukio hilo.
Mwandishi wa Gazeti la Uhuru Issa Mohammed naye hakuwa nyuma kushuhudia tukio hilo adimu.
Hivi ndivya hali ilivyokuwa baada ya juwa kupatwa matukio tofauti yakionyesha lilipokuwa likipatwa na kuachiwa.
 (PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-RUJEWA-MBEYA)
 
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni