Jumatatu, 2 Machi 2015

Salamu na vicheko vya vigogo CCM

'SISI SIYO MAADUI' Huenda ndivyo salamu yao inavyosema. Ni Waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi, Abdulhaman Kinana wakisalimiana walipokutana kwenye msiba wa kada maarufu wa CCM na Mbunge, Kepteni John Komba jana jijini Dar es Salaam.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni