Waziri wa Maliasili na
Utalii Lazari Nyalandu (kushoto) akikabidhiwa ndege aina ya Micro Light
Nyinja, 5H-HEL, na Mwenyekiti wa Kampuni ya Utalii ya Tanganyika
Wildlife Safari, Eric Pasanisi, werngine ni Askari wa kikosi cha
wanyamapori walio hudhuria makabidhiano hayo.
Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu akiwa na
Rubani wa ndege aina ya Micro Light Nyinja, muda mfupi kabla ya
kukabidhiwa ndege hiyo. Ndege hiyo ambayo imenunuliwa na kampuni ya
Tanganyika Wildlife Safari ilikabidhwa kwa Waziri Nyalandu kwaajili ya
kufuatilia majangili kwenye hifadhi za taifa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni