MAJALIWA AZUNGUMZA NA WALIMU WA ARUSHA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Walimu wa Arusha kwenye ukumbi wa Simba katika Kituo
cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC) Desemba 2, 2016. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Walimu wa Arusha jana
walifurika kwenye ukumbi wa Simba katika Kituo cha Kimataifa cha
Mikutano cha Arusha (AICC) kumsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
katika mkutano kati yake na wo aliouitisha. Pichani, baadhi ya walimu
wakiwa wamekaa kwenye ngazi na sakafuni baadaya viti kujaa. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni