MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA USA RIVER
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Ngaraseru- Usa River wilayani Arumeru Desemba 27, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama ngoma ya kikundi cha sana cha Chuo Kikuu cha Makumira cha Arusha baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ngaraseru – Usa River wilayani Arumeru kuhutubia mkutano wa hadhara Desemba 27, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kisalimiana na viongozi wa dini baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ngaraseru- Usa River wilayani Arumeru kuhutubia mkutano wa hadhara. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni