MAJALIWA AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA ARUSHA
Baadhi ya wafanyabiashara wa
Arusha wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza
nao kwenye Ukumbi wa Simba katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha
Arusha, Desemba 2, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na wafanyabiashara wa Arusha kwenye Kituo cha Mikutano cha
Arusha (AICC) Desemba 2, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni