Basi la Wibonela likiokolewa baada ya ajali hiyo leo asubuhi eneo la Fantom Kahama.
Basi la Wibonela linalofanya safari zake kahama Dar limeua watu zaidi ya watano na kujeruhi wengi leo asubuhi eneo la Fantom Kahama. Chanzo ni mwendo kasi uliomshinda dereva wa basi hilo kukata kona ya kuingia barabara kuu hivyo kuruka nje na kusababisha basi hilo kupinduka. . Mpaka sasa haijajulikana majeruhi ni wangapi na waliokufa ni wangapi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni