RAIS KIKWETE AHUDHURIA UZINDUZI WA KOZI YA MAADILI
Mmoja wa Wasanii kutoka Bendi ya Mrisho Mpoto akifanya onyesho katika Uzinduzi wa Kozi Maalumu ya Maadili na Uongozi.
Mhe.Dkt.Jakaya Mrisgo Kikwete akiimba wimbo wa Taifa katika Uzinduzi wa wa Kozi Maalumu ya Maadili na Uongozi uliofanyika Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere leo jijini Dar es Salaam.
Rais Kikwete (katikati)akionesha kitabu kitachotumika kufundisha Kozi Maalum ya Maadili na Uongozi kilichozinduliwa leo Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(kulia)Prof.Shardrack Mwakalila, Mkuu wa Chuo(kushoto)Dkt.Shukuru Kawambwa,Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi.
Mhe.Pius Msekwa akitoa neno la shukurani baada ya kusimikwa rasmi kuwa Mwenyekiti wa Kibweta Cha Mwalimu Nyerere na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo jijini Dar es Salaam.
Brass Bendi ya Polisi ikiongoza kuimba wimbo Taifa katika Uzinduzi wa Kozi Maalum ya Maadili na Uongozi uliofanyika katika Uwanja wa Chuo hicho(MNMA).
Pichani( kushoto)Rais Kikwete (katikati)Prof.Mwakalila na( kulia)Mhe.Pius Msekwa wakiimba Wimbo wa Taifa.
Wakiwa katika picha ya pamoja na Ubalozi.
Wakiwa katika picha ya pamoja na Bodi ya Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere.
Wakiwa katika picha ya pamoja na Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni