Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akipokea  zawadi ya kitabu cha Mungu (Biblia) kutoka kwa Askofu Mkuu wa Kanisa la  AICT (Africa Inland Church Tanzania) Dayosisi ya Shinyanga,Dkt. John  Kanon Nkola mara baada ya kuendesha Harambee ya Kuchangisha fedha kwa  ajili ya Ujenzi wa Shule ya Msingi ya Kanisa la AICT (Africa Inland  Church Tanzania) Pastoreti ya Kahama Mjini.ambapo zaidi ya Shilingi  Milion 212 zilipatikana zikiwemo na ahadi.
   Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa  akiwapungia mkono waumini wa Kanisa la AICT (Africa Inland Church  Tanzania) Pastoreti ya Kahama Mjini,wakati alipokuwa akiwasili kwenye  kanisa hilo kwa ajili ya kuendesha Harambee ya Kuchangia Ujenzi wa Shule ya Msingi ya Kanisa hilo.
   .Pichani chini na juu, Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh.  Edward Lowassa akikata utepe na kufungua pazia katika jiwe la msingi  ikiwa ni ishara ya Ufunguzi rasmi wa Jengo la Madarasa ya Shule ya awali ya Kanisa la AICT (Africa Inland Church Tanzania) Pastoreti ya Kahama  Mjini.ambapo baadae aliendesha Harambee ya Kuchangia Ujenzi wa Shule ya  Msingi ya Kanisa hilo.
   Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akipanda Mti katika eneo la Kanisa hilo.
 .
 





 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni