Jumamosi, 26 Novemba 2016

UZINDUZI WA HOSPITALI YA ABDALLA MZEE PEMBA.

shein
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Balozi wa China Nchini Tanzania Mhe,Lu Youqing wakikata utepe kuizindua Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba leo,iliyojengwa na Kampuni ya Kichina Jiang SU Ltd.
shein-1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Balozi wa China Nchini Tanzania Mhe,Lu Youqing (kushoto) na Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Alipotembelea Chumba cgdhi mbali mbali ali Iddi wakati akitembelea sehemu mbali mbali za Jengo la Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba baada ya kuizindua rasmi  leo.
shein-2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  akiangalia mashine za kuchunguzia maradhi mbalimbali wakati alipotembelea Chumba cha Maabara katika Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba baada ya kuizindua rasmi  leo akiwa na Balozi wa China Nchini Tanzania Mhe,Lu Youqing (katikati) na Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi.
shein-3
 Wananchi waliohudhuria katika uzinduzi wa Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba iliyozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo,ambayo imejengwa na  Kampuni ya Kichina Jiang SU Ltd.
shein4
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipaa maelezo kutoka kwa Dk.Mariuma Abdalla Salum (kushoto)alipotembelea katika wodi ya wazazi baada ua kuizindua leo,ambayo imejengwa na  Kampuni ya Kichina Jiang SU Ltd,(katikati) balozi wa China Nchini Tanzania Lu Younqing

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni