MAADHIMISHO YA SIKU YA WALEMAVU KITAIFA YAFUTWA
Akitoa tamko la kuharishwa kwa
maadhimisho hayo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na
Serikali za Mitaa(Tamisemi), George Simbachawene amesema maadhimisho
hayo yalilenga kila halmashauri isafirishe wanachama wa vyama vya watu
wenye ulemavu ili washiriki maadhimisho hayo jijini humo.
Amesema kwa mujibu wa maelekezo
aliyopewa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwa wakuu wa mikoa kuwa badala
ya maadhimisho hayo ya kitaifa kukusanya walemavu wote kwenye mikoa
kwenda Dar es salaam yafanyike kwenye mikoa yao.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni