Jumapili, 23 Oktoba 2016

TBL Group yaadhimisha mwezi wa Saratani ya matiti kwa vitendo


Yaendesha zoezi la kupima afya za wafanyakazi na familia zao
Wafanyakazi wa kampuni ya  TBL Group katika viwanda vyake vyote nchini vilivyopo katika mikoa ya Dar Es Salaam,Mwanza,Mbeya,Arusha na Kilimanjaro mwishoni mwa wiki walipimwa Saratani ya matiti ikiwemo kupatiwa elimu juu ya ugonjwa huu ambao umekuwa ukiongezeka kwa kasi nchini ikiwa ni maadhimisho ya Mwezi wa Saratani ya Matiti kupitia mpango wa kampuni wa Afya Kwanza.sara1
Maofisa wa TBL Arusha wakifuatilia maelezo ya semina ya afya
sara2
Baadhi ya wafanyakazi wa TBL wakifuatilia mafunzo ya Afya kuhusiana na saratani
sara3
Baadhi ya wafanyakazi wa TBL Dar es Salaam wakifuatilia mafunzo wakati wa semina ya masuala ya saratani ya matiti
sara4
Baadhi ya wafanyakazi wa Konyagi wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa semina ya afya kuhusiana na Saratani ya Matiti
sara5
Baadhi ya wafanyakazi wa TBL Mbeya katika picha ya pamoja kabla yakuanza semina ya Saratani ya matiti
sara6
Baadhi ya wafanyakazi wa TBL Mwanza wakati wa mafunzo kuhusiana na saratani ya matiti

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni