Jumatatu, 14 Desemba 2015
LUKUVI AKABIDHIWA OFISI RASMI AAPA KUWAKOMBOA MASIKINI
Waziri wa maendeleo ya nyumba na makazi,William Lukuvi amesema atahakikisha wananchi maskini wanapata haki zao za kumiliki ardhi pamoja na kuwawezesha kuwa na makazi bora ya kuishi na kuwashughulikia wale wote wanaotumika kama mawakala na kudhulumu maeneo yao.
MAZOEZI YA VITENDO WAKATI WA KUHITIMISHA MAFUNZO YA AWALI KWA WAHITIMU WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI YALIYOFANYIKA CHUO CHA UONGOZI JKT KIMBIJI
Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, wakionyesha jinsi
ya kuzima moto wakati wa maonyesho ya kufunga mafunzo ya kozi ya awali ya Sajini na Askari wa Jeshi hilo,yaliyofanyika
Chuo cha Uongozi JKT Kimbiji,jijini Dar es Salaam,mwishoni mwa wiki.
Jumamosi, 28 Novemba 2015
TATIZO LA KUOTA NDEVU KWA WANAWAKE
Kawaida watoto wa kiume na wa kike
wanapofikisha umri wa kubalehe ma kuelekea utu uzima ,dalili mbalimbali huanza
kujitokeza ikiwemo kuota nywele sehemu mbalimbali za mwili kama kwapani na
sehemu za siri ,chunusi usoni,sauti kubadilika na kuwa nzito kwa wavulana na nyororo kwa wasichana.
Ijumaa, 27 Novemba 2015
KAMANDA MPINGA AZINDUA OPARESHENI YA PAZA SAUTI DAR
Kamanda wa Kikosi cha
Usalama Barabarani,DCP Mohamed Mpinga, akisalimiana na Mabalozi
wa Usalama Barabarani, muda mfupi kabla ya kuzindua Operesheni ijulikanayo kwa
jina la “Paza Sauti” yenye lengo la kuwaelimisha abiria ili waweze kutoa taarifa
mara wanapoona kuna viashiria vya uvunjifu wa sheria za barabarani. Operesheni
hii ilizinduliwa jijini Dar es Salaam leo.
MAHAKAMA KUU TANZANIA KUFUNGUA NJIA KWA WAANDISHI WA HABARI
ALIYEKUWA MGURUGENZI MSAIDIZI WA SHUGHULI ZA BUNGE BI.HELLEN MBEBA AFARIKI
WAZIRI MKUU MAJALIWA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA BANDARINI,AWAVUA GAMBA BAADHI YA MAAFISA TRA
Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi
maofisa watano na watumishi watatu wa mamlaka ya mapato Tanzania(TRA)kutokana
na upotevu wa makontena
349 yenye thamani ya zaidi ya sh.bilioni 80.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)





