PISTORIUS AFUNGWA MIAKA SITA JELA
Mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini, Oscar Pistorius amefungwa jela miaka sita na atarejea uraiani mwaka 2019.
Pistorius amefungwa baada ya kupatikana tena na hatia ya kuua mpenzi wake Reeva Steenkamp mwaka 2013.
Jaji
Thokozile Masipa aliyemhukumu, amesema mwanariadha huyo mwenye umri wa
miaka 29 amepewa nafasi ya kukata rufaa dhidi ya hukumu hiyo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni