BAYPORT YACHANGIA UJENZI WA SEKONDARI YA LINDI

mwenye fulana juu ya jukwa, akitoa msaada wa Sh Milioni mbili katika
harambee ya kuchangia ujenzi wa shule ya sekondari Lindi iliyoungua,
ambapo harambee hiyo iliongozwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa. Picha na Mpiga Picha wetu.

Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa, wa
pili kutoka kushoto mstari wa mbele, akifuatilia jambo wakati Meneja wa
Bayport Financial Services, taasisi inayojihusisha na mikopo, tawi la
Lindi, Lovin Mapunda, hayupo pichani wakati anatoa jumla ya sh Milioni
mbili kwa ajili ya mchango wa taasisi yake kwa shule ya Sekondari Lindi,
iliyopata balaa la kuungua kwa baadhi ya majengo yake. Picha na Mpiga
Picha Wetu, Lindi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni