NSSF YADHAMINI SIKU YA MADANSA DUNIANI
Ofisa
Mkuu Mwandamizi Idara ya Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la
Hifadhi ya Jamii (NSSF), Salim Kimaro, akizungumza na waandishi wa
habari wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya siku ya madansa duniani
yaliyofanyika kwenye viwanja vya TCC Club jijini Dar es Salaam, mwishoni
mwa wiki na kudhaminiwa na NSSF. (Na Mpiga Picha Wetu)
Ofisa Mwandamizi Masoko na Uhusiano NSSF, Amina Mbaga, (kushoto) akimkabidhi fulana, Jumanne Mnola alipotembelea
banda la NSSF wakati wa uzinduzi wa siku ya madansa duniani
iliyofanyika viwanja vya TCC Club jijini Dar es Salaam na kudhaminiwa na
NSSF.
Ofisa
Mwandamizi Masoko na Uhusiano NSSF, Amina Mbaga, (kushoto),
akimkabidhi fulana mmoja wa wateja wao, Said Ally, alipotembelea banda
lao wakati wa uzinduzi wa siku ya madansa duniani iliyofanyika kwenye
viwanja vya TCC Club jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki na
kudhaminiwa na NSSF.
Ofisa Mwandamizi Masoko na Uhusiano (Nssf), Amina Mbaga akigawa vipeperushi kwa baadhi ya
wananchi waliotembelea banda lao.
wananchi waliotembelea banda lao.
Ofisa Uhusiano wa NSSF, Faides Mdee, akigawa
vipeperushi kwa baadhi ya wananchi waliotembelea banda lao katika
uzinduzi wa siku ya madansa duniani uliofanyika kwenye viwanja vya TCC
Club Chang’ombe jijini Dares Salaam, mwishoni mwa wiki. Uzinduzi huo
ulidhaminiwa na NSSF.
Wafanyakazi wa NSSF wakimkabidhi fulana mteja wao, Antela Salumu (katikati).
Ofisa
wa NSSF, Innocent Shao, (kulia) akiwaandikisha baadhi ya wanachama
wapya waliojiunga na NSSF walipotembelea banda la NSSF katika uzinduzi
wa siku ya madansa duniani iliyoadhimishwa kwenye
viwanja vya TCC Club Chang’ombe na kudhaminiwa na NSSF.
viwanja vya TCC Club Chang’ombe na kudhaminiwa na NSSF.
Ofisa
uandikishaji NSSF, Amina Kisawaga (kulia) akitoa maelezo kwa mteja
alietembelea banda lao Fumbwe Juma, katika uzinduzi wa siku ya madansa
duniani uliofanyika kwenye viwanja vya TCC Club Chang’ombe, Dar es
Salaam na kudhaminiwa na NSSF.
Picha ya pamoja.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni