WABUNGE WAJADILI MAREKEBISHO YA SHERIA MPYA YA UNUNUZI WA UMMA, DODOMA
Kamishna
wa Sera ya Ununuzi wa Umma, kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, DKT.
Fredrick Mwakibinga, akiwasilisha mada kwa waheshimiwa wabunge, kuhusu
Marekebisho ya Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura 410, iliyofanyika katika
ukumbi wa Pius Msekwa, Mjini Dodoma, jana.(Picha zote na WFM)
Naibu
waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji (Kushoto) na Waziri wa
Katiba na Sheria Dkt. Harrison Mwakyembe, wakifuatilia kwa makini mada
kuhusu Marekebisho ya Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura 410, iliyotolewa
kwa waheshimiwa wabunge katika ukumbi wa Pius Msekwa, jana Bungeni Mjini
Dodoma
Baadhi
wa Waheshimiwa wabunge wakifuatilia kwa makini mada iliyowasilishwa
kwao kuhusu Marekebisho ya Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura 410,
iliyofanyika katika ukumbi wa Pius Msekwa, Bungeni Mjini Dodoma Jana.
Baadhi
wa Waheshimiwa wabunge wakifuatilia kwa makini mada iliyowasilishwa
kwao kuhusu Marekebisho ya Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura 410,
iliyofanyika katika ukumbi wa Pius Msekwa, Bungeni Mjini Dodoma Jana.
Mbunge
wa Korogwe Vijijini, Stephen Ngonyaji (Prof. Maji Marefu) akichangia
jambo wakati wa mjadala kuhusu Marekebisho ya Sheria ya Ununuzi wa
Umma, Sura 410, wakati wa semina iliyofanyika katika ukumbi wa Pius
Msekwa, Bungeni Mjini Dodoma Jana
Mbunge
wa Nkasi, Ali Kessy, akichangia jambo wakati wa mjadala kuhusu
Marekebisho ya Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura 410, wakati wa semina
iliyofanyika katika ukumbi wa Pius Msekwa, Bungeni, Mjini Dodoma, Jana.

Mbunge
wa Iringa Mjini, Mchg. Peter Msigwa, akichangia jambo wakati wa mjadala
kuhusu Marekebisho ya Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura 410, wakati wa
semina iliyofanyika katika ukumbi wa Pius Msekwa, Bungeni, Mjini Dodoma,
Jana.
Waziri
wa Katiba na Sheria, Dkt. Harrison Mwakyembe, akifafanua jambo wakati
wa semina ya waheshimiwa wabunge kuhusu Marekebisho ya Sheria ya Ununuzi
wa Umma, Sura 410, iliyofanyika katika Ukumbi wa Pius Msekwa, Bungeni
mjini Dodoma jana. Kusoto kwake ni Naibu Waziri wa Fedha na Mipango,
Dkt. Ashatu Kijaji na Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Semina hiyo, Mhe.
Hawa Ghasia.
Kamishna
wa Sera ya Ununuzi wa Umma, kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt.
Fredrick Mwakibinga, akiwasilisha mada kwa waheshimiwa wabunge, kuhusu
Marekebisho ya Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura 410, iliyofanyika katika
ukumbi wa Pius Msekwa, Mjini Dodoma, jana.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni