MKUTANO WA MASHAURIANO YA KITALAM JUU YA KUANZISHA VITUO BORA VYA UVUVI WAFANYIKA ZANZIBAR
Meza kuu ikisikiliza utaratibu wa Mkuta kutoka kwa Masta Solomon hayupo (pichani).

Waziri
wa Kilimo, Maliaasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar Hamad Rshid Muhammed
akifungua Mkutano wa siku mbili wa mashauriano ya kitaalam juu ya
kuanzisha vituo bora vya uvuvi na ufugaji samaki Africa, uliofanyika
Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Mjini Zanzibar.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni