WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA WAWEKEZAJI WA MCHUCHUMA NA LIGANGA
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wawekezaji wanaokusudia kuanza
uwekezaji katika mgodi wa Mchuchuma na Liganga pamoja na viongozi wa
NDC ofisini kwake Bungeni mjini Dodoma Mei 19, 2016. Kulia kwake ni
Mwenyekiti wa NDC, Dkt. Chrisant Mzindakaya.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni