Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali Bungeni mjini Dodoma Mei 19, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza swali kutoka kwa Kiongozi wa upinzani
bungeni Freeman Mbowe , mjini Dodoma Mei 19, 2016.
Waziri
wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Mhongo akiwasilisha Makadirio ya
Matumizi ya wizara hiyo bungeni mjini Dodoma Mei 19, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Ulanga, Goodluck Mlinga
kwenye viwanja vya bunge jini Dodoma Mei 19 , 2016. Wapli kushoto ni
Waziri wa Ardhi,, nyumba na Maendeleo ya Makazi,, William Lukuvi na
watatu kushoto ni Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Bukoba Mjini Wilfred
Rwakatare kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Mei 19, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni