Alhamisi, 5 Mei 2016

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA ALEX MSAMA MKURUGENZI WA MSAMA PROMOTION

MSAMA2 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali Bungeni mjini Dodoma May 5, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
MSAM4 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi wa  Kampuni ya Msama Promotion, Alex Msama kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma May 5, 2016. (PIcha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
MSAMA3 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Mbunge wa Urambo, Magreth Sitta (katikati) kwenye viwanja vya  Bunge mjini Dodoma May 5, 2016. Kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, Alex Msama. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni