Jumatano, 11 Mei 2016

RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI NCHINI UGANDA LEO, KUHUDHURIA SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS MUSEVENI

MAH1 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika Uwanja wa ndege wa Entebbe, nchini Uganda kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais Yoweri Museveni, kesho.
MAH2

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni