Naibu
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt Angeline
Mabula akifungua rasmi mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Shirika la
Nyumba la Taifa NHC uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye makao makuu ya
shirika hilo Upanga jijini Dar es salaam ambapo alilipongeza shirika
hilo kwa kazi nzuri ambayo wafanyakazi wake wanaifanya kwani ndiyo
shirika pekee la Serikali linaloendeshwa kwa ufanisi mkubwa na kuiletea
heshima serikali, Waziri Mabula amewaambia wafanyakazi wa shirika hilo
pamoja na Menejimenti yake kuendelea na kazi nzuri ambayo wamekuwa
wakiifanya ili kuleta maendeleo zaidi nchini katika sekta ya
nyumba.PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt Angeline Mabula akifungua
mkutano wa baraza la wafanyakazi katika mkutano uliofanyika mwishoni
mwa wiki katikia makao makuu ya shirika hilo Apanga kulia ni Mkurugenzi
wa Shirika hilo Bw. Nehemia Mchechu na kushoto ni Adolf Kasegenya Katibu
wa Baraza la Wafanyakazi TAMICO NHC.
Naibu
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt Angeline
Mabula Mkurugenzi wa Shirika hilo Bw. Nehemia Mchechu kulia na
Adolf Kasegenya Katibu wa Baraza la Wafanyakazi TAMICO NHC kushoto
wakiimba wimbo wa wafanyakazi kabla ya kuanza kwa mkutano huo.
Naibu
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt Angeline
Mabula na Mkurugenzi wa Shirika hilo Bw. Nehemia Mchechu wakifurahia
jambo wakati wa mkutano huo.
Naibu
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt Angeline
Mabula akipitia nyaraka huku Mkurugenzi wa Shirika hilo Bw. Nehemia
Mchechu akizungumza na wafanyakazi wa shirika hilo kabla ya kumkaribisha
ili kufungua rasmi mkutano huo.





Mkurugenzi wa Shirika hilo Bw. Nehemia Mchechu
na Naibu Waziri Angelina Mabula wakiwa katika picha ya pamoja na
wafanyakazi wa shirika hilo baada ya kuufungua rasmi mkutano huo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni