MBUNGE JIMBO LA MOSHI MJINI,JAFARY MICHAEL ATEMBELEA KATA ZILIZOATHIRIKA NA MVUA ZILIZONYESHA HIVI KARIBUNI.
Mbunge
wa Jimbo la Moshi mjini ,Jafary Michael (mwenye suti) akiwa na Mstahiki
Meya wa Manispaa ya Moshi,Raymond Mboya (Kulia) wakizungumza na Diwani
wa kata ya Ng’ambo ,Genesis Kiwhelu walipofika katika kata hiyo kujionea
athari za miondombinu iliyotokana na mvua zilizonyesha hivi karibuni.
Sehemu ya miondo mbunu ya maji ikiwa imeharibika.
Mbuge
Jafary Michael na Mstahiki Meya ,Raymond Mboya pamoja na Diwani wa kata
ya Ng’ambo Genesis Kiwhelu wakiangalia eneo la daraja lililopo katka
kata hiyo namna lilivyoharibika kutokana na mvua zilizonyesha hivi
karibuni.
Sehemu ya daraja hilo.
Mstahiki
Meya wa Manispaa ya Moshi,Raymond Mboya akiwa katika moja ya kivuko
kilichopo kata ya Ng’ambo akiangalia athari ya mvua zilizonyesha hivi
karibuni.
Diwani
wa kata ya Msaranga,Anna Mushi akimueleza jambo Mbunge wa Jimbo la
Moshi mjini,Jafary Michael alipofanya ziara ya kujionea athari ya mvua
zilizonyesha hivi karibuni na kuharibu miundombinu.

Sehemu ya Korongo lililopo katika kati hiyo lililotokana na mvua .
Mbunge
wa jimbo la Moshi mjini ,Jafary Michael akisaidia kupalia mahindi
wakati akiwa katika kata ya Msaranga akitembelea kujionea athari ya mvua
iliyosababisha uharibifu mkubwa wa miundo mbinu.
Mstahiki
Meya wa manispaa ya Moshi,Raymond Mboya akisadia kaika palizi la
Mahindi katika moja ya shamba lililopo kata ya Msaranga.
Diwani
wa kata ya Mji Mpya Abuu Shayo akimueleza jambo Mbunge wa jimbo la
Moshi mjini Jafaryy Michael alipofika katika kata hiyo kujionea athari
ya mvua iliyosababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu .
Diwani
wa kata ya Njoro ,Jomba John Koi akionesha sehemu ya uharibifu
uliotokana na mvua zilizonyesha hivi karibuni na kuharibu miundombinu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni