MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN, AWAHUTUBIA WANAWAKE KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA MAMA MJINI DODOMA
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akiangalia Bidhaa za aina mbalimbali zinazotengenezwa na Wajasiriamali
wadogowadogo kwenye maonesho ya maadhimisho ya siku ya Mama na sherehe
ya kumpongeza kwa kuchaguliwa Makamu wa Rais wa kwanza Mwanamke.
Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na Jumuiya ya UWT Taifa yamefanyika leo
Mei 8,2016 katika viwanja vya Nyerere Square mjini Dodoma.

akimkabidhi cheti mmoja kati waliofanya vizuri kwenye maonesho ya
maadhimisho ya siku ya Mama na sherehe ya kumpongeza kwa kuchaguliwa
Makamu wa Rais wa kwanza Mwanamke. Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na
Jumuiya ya UWT Taifa yamefanyika leo Mei 8,2016 katika viwanja vya
Nyerere Square mjini Dodoma.
Wananchi
wa Mkoa wa Dodoma wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,alipokua akihutubia kwenye
maadhimisho ya siku ya Mama na sherehe ya kumpongeza kwa kuchaguliwa
Makamu wa Rais wa kwanza Mwanamke yaliyofanyika leo Mei 8,2016 katika
viwanja vya Nyerere Square mjini Dodoma.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akihutubia Wanawake kwenye maadhimisho ya siku ya Mama na sherehe za
kumpongeza kwa kuchaguliwa Makamu wa Rais Mwanamke wa kwanza
yaliyoandaliwa na Jumuiya ya UWT Taifa yaliyofanyika leo Mei 8,2016
katika viwanja vya Nyerere Square mjini Dodoma.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akionesha Tunzo alizokabidhiwa na UWT Taifa kwa ajili ya kumpongeza kwa
kuchaguliwa Makamu wa Rais wa Kwanza Mwanamke kwenye maadhimisho ya siku
ya Mama yaliyoandaliwa na Jumuiya ya UWT Taifa yaliyofanyika leo Mei
8,2016 katika viwanja vya Nyerere Square mjini Dodoma.
Vikundi
mbalimbali vya Ngoma Vikitumbuiza kwenye maadhimisho ya siku ya Mama na
kumpongeza Makamu wa Rais kwa kuchaguliwa Makamu wa Rais wa kwanza
Mwanamke yaliyoandaliwa na Jumuiya ya UWT Taifa yaliyofanyika leo Mei
8,2016 katika viwanja vya Nyerere Square mjini Dodoma.Vikundi
mbalimbali vya Ngoma Vikitumbuiza kwenye maadhimisho ya siku ya Mama na
kumpongeza Makamu wa Rais kwa kuchaguliwa Makamu wa Rais wa kwanza
Mwanamke yaliyoandaliwa na Jumuiya ya UWT Taifa yaliyofanyika leo Mei
8,2016 katika viwanja vya Nyerere Square mjini Dodoma.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akiagana na Wanawake na Wananchi wa Dodoma baada ya kuwahutubia kwenye
maadhimisho ya siku ya Mama na kumpongeza kwa kuchaguliwa Makamu wa Rais
wa kwanza Mwanamke yaliyoandaliwa na Jumuiya ya UWT Taifa yaliyofanyika
leo Mei 8,2016 katika viwanja vya Nyerere Square mjini Dodoma.(Picha na
OMR)

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni