NA RAYMOND URIO
Klabu ya Al Ahly ya Sudan haitakuja tena nchini Tanzania jijini, Mwanza kumenyana na Yanga katika Kombe la Shrikisho la Soka Afrika (CAF), baada ya kuandika barua FIFA ikisema inakabiliwa na hali mbaya kiuchumi.
Maana yake Yanga wanasonga mbele bila jasho baada ya wapinzani wao hao kujitoa na sasa watamenyana na mshindi kati ya Azam FC ya Msumbiji na USM Alger ya Afrika Kusini.
KIKOSI CHA AL AHLY,( LEO NI SIKUKUU YA WAJINGA GOOD DAY |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni