WENGI WAJIUNGA NA NSSF JIJINI MWANZA
Ofisa
Uandikishaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Kwandu
Ikombe (kushoto), akiwaandikisha wanachama wapya wa NSSF katika eneo la
Tanganyika Bus mjini Mwanza. (Na Mpigapicha Wetu)
Afisa Mwandamizi wa Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Aisha Sango akigawa vipeperushi vyenye taarifa kuhusu NSSF wakati wa zoezi maalum la utoaji elimu kwa umma kuhusu mafao na huduma mbalimbali za NSSF .
Ofisa
Masoko Mwandamiza wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Amina
Mmbaga akitoa elimu kuhusu NSSF kwa wanawake wajasiriamali wa kuuza
viatu katika eneo la Tanganyika jijini Mwanza.
Afisa Mwandamizi wa Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Anna
Nguzo akitoa elimu kuhusu NSSF wakati wa zoezi maalum la utoaji elimu kwa umma kuhusu mafao na huduma mbalimbali za NSSF.
Nguzo akitoa elimu kuhusu NSSF wakati wa zoezi maalum la utoaji elimu kwa umma kuhusu mafao na huduma mbalimbali za NSSF.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni