WAFANYAKAZI WA NHC WAPANDA MITI KATIKA MAKAZI YALIYOUZWA WANANCHI KIBADA NHC
Mkuu
wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii, Susani Omari
akizungumza na Mameneja wa NHC na Wakurugenzi wakati wa zoezi la kupanda
miti katika Estate ya Kibada ikiwa ni jitihada za NHC kuboresha
mazingira ya eneo hilo linalokaliwa na wakazi takribani 1,000 katika
nyumba zipatazo 218 za gharama nafuu. EMT wote(Directors, Regional
Managers & Line Managers) pia wametembelea miradi ya Kawe,
Morocco Square, Victoria Place, Eco Residence na Kibada ambako
kumefanyika shughuli hiyo ya upandaji miti.
Mkurugenzi
wa Rasilimali Watu wa Shirika la Nyumba la Taifa, James Rhombo akipanda
mti wa mchikichi katika eneo la makazi la NHC Kibada Kigamboni maarufu
kama Kigamboni Housing Estate.
Mwenyekiti
wa Chama cha Wafanyakazi (TAMICO), Lilian Reuben na Meneja wa NHC,
Mtwara, Joseph John wakipanda mti katika eneo la makazi la NHC Kibada
Kigamboni maarufu kama Kigamboni Housing Estate.
Zoezi la kupanda miti likiendelea katika eneo la makazi la NHC Kibada Kigamboni maarufu kama Kigamboni Housing Estate.
Mandhari
ya kupendeza ya nyumba za makazi za NHC Kibada Kigamboni maarufu kama
Kigamboni Housing Estate inavyoonekana mchana huu, hizo ni barabara,
mataa na mitaro ya nyumba hizo zinavyoonekana leo hii.
Mandhari
ya kupendeza ya nyumba za makazi za NHC Kibada Kigamboni maarufu kama
Kigamboni Housing Estate inavyoonekana mchana huu, hizo ni barabara,
mataa na mitaro ya nyumba hizo zinavyoonekana leo hii.
Wajumbe
wa ziara hiyo wakisikiliza kwa makini maenelezo kutoka kwa Mkurugenzi
wa Uendelezaji Miliki wa Shirika la Nyumba la Taifa, NHC, Haikamen
Mlekio wakati wajumbe hao walipotembelea eneo hilo la makazi.
Mandhari
ya kupendeza ya nyumba za makazi za NHC Kibada Kigamboni maarufu kama
Kigamboni Housing Estate inavyoonekana mchana huu, hizo ni barabara,
mataa na mitaro ya nyumba hizo zinavyoonekana leo hii.
Mandhari
ya kupendeza ya nyumba za makazi za NHC Kibada Kigamboni maarufu kama
Kigamboni Housing Estate inavyoonekana mchana huu, hizo ni barabara,
mataa na mitaro ya nyumba hizo zinavyoonekana leo hii.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni