Jumatano, 11 Mei 2016

BONDIA SAJJAD MEHRAB KUTOKA IRANI AWASILI KUMVAA THOMASI MASHALI MEI 14 TAIFA

 
Bondia  Sajjad Mehrab kutoka ‘Iran’ akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kuwasili nchini kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa wa Dunia na Thomas Mashali utakaofanyika mei 14 katika uwanja wa ndani wa Taifa picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia  Sajjad Mehrab kutoka ‘Iran’ akiongea na wahandishi wa habari mara baada ya kuwasili nchini kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa wa Dunia na Thomas Mashali utakaofanyika mei 14 katika uwanja wa ndani wa Taifa
picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Sajjad Mehrab kutoka ‘Iran’ akiwasili nchini kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa wa Dunia na Thomasi mashali mei 14 katika uwanja wa ndani wa Taifa

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni