MOURINHO AIPONGEZA LEICESTER CITY KWA KUBEBA UBINGWA
Kocha Jose Mourinho ameipongeza Leicester City kwa kubeba ubingwa ‘wake’.
Leicester City ndiyo mabingwa wapya wa Ligi Kuu England.
Mourinho
ambaye aliondoka Chelsea akiwaacha wakiwa mabingwa watetezi baada ya
kuwasaidia kubeba ubingwa huo, amesema amefurahishwa na kazi ya
Leicester inayoongozwa na Kocha Claudio Ranieri.
Kwa
mazungumzo ya Mourinho, anaonyesha kama angeendelea kubaki Chelsea na
wachezaji wasingemsaliti, alikuwa na uhakika wa kuutetea tena ubingwa
huo kwa mara nyingine.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni