MAJALIWA AMWAKILISHA Rais John Magufuli KWENYE MKUTANO WA KUPAMBANA NA RUSHWA LONDON
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozwa kuingia kwenye ukumbi wa Lancaster
House, London nchini Uingereza kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa Nchi
kuhusu mapambano dhidi ya rushwa, May 12, 2016. Majaliwa alimwakilisha
Rais John Magufuli kwenye mkutano huo.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akishiriki katika
mazungumzo rasmi ya Wakuu wa Nchi katika Mkutano unaojadili mapambano
dhidi ya rushwa kwenye ukumbi wa Lancaster House, London, nchini
Uingereza May 12, 2016. Wa tatu kushoto ni Waziri Mkuu wa Uingereza,
David Cameron. Majaliwa alimwakilisha Rais John Magufuli katika mkutano
huo.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni